Header Ads

Vikosi Vya Usalama Vyaokoa Hotel ya Nasa-Halblod Iliyovamiwa na Al-Shabaab

Vikosi Vya Usalama Vyaokoa Hotel ya Nasa-Halblod Iliyovamiwa na Al-ShabaabVikosi vya usalama vimefanikiwa kuikomboa Hoteli ya Nasa-Hablod iliyokuwa imetekwa na Wapiganaji watano wa Al-Shabaab. Wanamgambo hao waliivamia hoteli hiyo baada ya kulipua mabomu wliyoyatega katika gari dogo nje ya lango la kuingilia.

Kufuatia shambulio hilo watu 23 wameripotiwa kuuawa. Vikosi vya usalama vilifanikiwa kuikomboa Hoteli hiyo baada ya kufanikiwa kuwauwa Wapiganaji hao pamoja na kuwakamata wawili.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.