Header Ads

Hii ya Irene Uwoya Kuolewa Mara Mbili Tuiite Bahati au??

Helo wana nzengo wa humu jukwani. Hii tuite ni bahati kwa mwana dada Irene uwoya kuolewa mara mbili tena kihalali kabisa. Ya mwanzo kanisani na sherehe ya kufa mtu na hii sasa ya kiislamu. Kwa wadada ambao hawajapata bahati ya kuolewa huko bongo movie wanajisikiaje mwenzao kuolewa mara mbili wakati wao hata ya mkeka tuu hawajawahi. Hii inaonyesha mwanadada anamvuto sana au ndo vyuma vimekaza watu wanatafuta pa kujisitiri. Karibuni

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.