Header Ads

Hiki Hapa Kiwango Anachopokea Harmonize kwa Mwezi You Tube

Hiki Hapa Kiwango Anachopokea Harmonize kwa Mwezi You Tube


 
 
Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Harmonize ametaja kiasi cha fedha ambacho anaingiza kwa mwezi kupitia YouTube.

Muimbaji huyo ambaye yupo chini ya usimamizi wa label ya WCB amesema kwa mwezi mmoja anaweza kuingiza kati ya Euro 4,000 au 5,000 sawa na milioni Tsh. Milion 10.

Account ya YouTube ya Harmonize ina subscriber 202, 939 ikiwa na jumla ya video 144

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.