Header Ads

Kijana Aliyevamia Shule na Kubaka Walimu na Wanafunzi Akamatwa

Kijana Aliyevamia Shule na Kubaka Walimu na Wanafunzi AkamatwaPolisi imemdaka kijana alievamia shule na kujaribu kubaka Walimu na Wanafunzi kwa mkupuo Arusha.

Ndio utajiuliza aliwazaje au kuanzaanza vipi kufikiria kwamba anaweza kuvamia shule na kuwabaka kwa mara moja Walimu pamoja na Wanafunzi.

Hata hivyo kijana huyo aitwae Musa Shakifu hakufanikiwa kwenye jaribu hilo la kuvamia shule ya Msingi Oltroto iliyopo Arumeru na tayari Jeshi la Polisi limemdaka ambapo Kamanda wa Polisi Charles Mkumbo amesema wanaendelea kumuhoji.Mwalimu wa zamu kwenye shule hiyo amekiri kuvamiwa na kijana Musa ambae alionekana kutumia nguvu za kupitiliza kutaka kuwabaka kwa mkupuo Waalimu pamoja na Wanafunzi.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.