Header Ads

Le Mutuz Ampa Makavu Ruge Kuhusu Tamasha la Fiesta "Acha Kushindana na Mamlaka"

Le Mutuz Ampa Makavu Ruge Kuhusu Tamasha la Fiesta "Acha Kushindana na Mamlaka"Baada ya siku moja Mkurugenzi wa clouds Media Ruge Mutahaba kuzungumsa kuhusiana suala la muda wa tamasha la fiesta Mwanamitandao, William Malechela (Le Mutuz) ameibuka na kuanza kumkashifu Ruge.

Ameandika hivi kupitia ukrasa wake wa Instargram "The art of self Destructions again Ihave so much respect kwa ndugu yangu Joe Kusaga but ninashindwa kuelewa exactly what is Mkurugenzi wake trying to achieve kwa kuendelea kushindana na mamlakacause nimemsikiliza sana jana akiendelea kuiponda serikali just becauseanataka kupiga muziki leaders mpaka asubuhi... binafsiIhave worked so hard kujaribu kusaidia kulimaliza hili tatizo la mkurugenzi lakini naonahataki kusikia lolote isipokuwa analolitaka yeye tu...
Ninajua mamlaka imekubali kusogeza goli kidogo just to accomodate his rants kwa kumuongezea lisaa limoja mpaka saa saba lakini bado jana alikuwa anaiponda mamlaka kwamba inatakiwa itengeneze plain field ya kumaliza muziki iwe a unifrom kwa taifa nzima .... kuna wanaodai kuwa yule mkuu ni akili kubwazzz now ninashindwa kuamini kama anavyosema amepiga Tanzania nzima mpaka asubuhi huko kote anasahau aliruhusiwa na mamlaka ile ile inamwambia hapa tu dar  huwezi kupiga mpaka asubuhi basi mamlaka nzima haifai really?
Juzi mamlaka hiyo hoyo ilienda kuangaliana kumfariji na kuunguliwa kwa ofisi zake lakini leo mamlaka hiyo hiyo haifai kisa ni yeye tu apige muziki hadi asubuhi... mamlaka imempa option ya kupiga muziki wake uwaja wa karume tena ni bure hadi asubuhi  akitaka lakini hataki anataka leaders tu  na lazima iwe mpaka asubuhi ... I mean sawa mbona zamani tulikuwa tunapiga why now? anaambiwa kuwa kuna malalamiko mengi kutoka kwa wananchi wanaoishi karibu na uwanja huo ambao wamekuwa wakilalamika kwa muda mrefu sana bila kusikilwa kwasababu hawana redio na Tv na wasanii kama yeye... infact mmiliki wa magorofa kupanga karibu na leaders wanalia hawana wapangaji ambao wanaogopa kelele za muziki ... at some point mkuu anajaribu kutishia mamlaka kwa kuigombanisha na wasanii anasahau kuwa  hii mamlaka ya mkoa imeshapigana na wauza unga, wauza shisha, na wakandarasi na wakatulia leo sembuseiwe wasanii? ... anasahau kua mamlaka hii  inaivunja jengo la Tanesco na wizara ya maji ili kuheshimu sheria zake namkumbusha tu AJIFUNZE KUHESHIMU MAMLAKA! bila SHURUTI"

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.