Header Ads

Picha: Irene Uwoya Akiwa Kwenye Kaburi la Ndikumana, Aandika Ujumbe Huu

Picha: Irene Uwoya Akiwa Kwenye Kaburi la Ndikumana, Aandika Ujumbe HuuMume wa zamani wa Mwigizaji Irene Uwoya, Hamad Ndikumana alifariki ghafla wiki iliyopita huko Rwanda sekunde chache baada ya kuomba soda ya baridi na kunywa ambapo Irene alifanikiwa kusafiri mpaka kwao kwenda kutoa pole kwa familia.

Baada ya taarifa hizo Irene Uwoya alifunga safari baadae na kwenda kutoa pole kwa familia ya Ndikumana ambapo ameonekana akiwa na Mtoto wao Krissh juu ya kaburi la Ndikumana na kuandika “My trust is in you …R.I.P baba krissh”

Kwenye hizi picha hapa chini anaonekana akiwa nyumbani kwa kina Ndikumana na ndugu zake na juu ya kaburi la Ndikumana pia ambapo  Irene alipewa baraka na Baba Mzazi wa Ndikumana

Angali Video Mpya ya Rapper Rosa Ree Anayewakilisha Tanzania Vyema

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.