Header Ads

Hamisa Mobetto Amtolea Mtu Povu ” Yani Naskia Bila Mimi Huwezi Kabisa Mrs Fudenge”

Hamisa Mobetto Amtolea Mtu Povu ” Yani Naskia Bila Mimi Huwezi Kabisa Mrs Fudenge”


Mwanamitindo Hamisa Mobetto ambaye pia ni mzazi mwenzake Diamond Platnumz amezichukua tena headlines baada ya kupost picha katika ukurasa wake wa Instagram na kuandika caption zilizoleta gumzo kwa mashabiki lakini haijajulikana zimemlenga nani.

Hamisa Mobetto kupitia ukurasa wake wa instagram amepost picha zake mbili katika post mbili tofauti na kuandika “Yani naskia bila Mimi huwezi kabisa….🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️ yani upo nyang’anyang’a #mrsfudenge @mobettostyles 👑”


 Post nyingine ya Hamisa Mobetto alipost picha yake akiwa katika gari na kuandika maneno haya “Ety …. Naskia ukiona picha yangu Moyo wako unapiga paaah 🙆🏽‍♀️💘💖 #MrsNaniliuwh…🧜🏽‍♀️ @mobettostyles @mobettostyles”Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.