Header Ads

Rais Magufuli Ametuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Kifo cha Askari 14 wa Jeshi la JWTZ

Rais Magufuli Ametuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Kifo cha Askari 14 wa Jeshi la JWTZRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha askari 14 wa Jeshi la JWTZ kuuawa walipokuwa katika operesheni ya kulinda amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).


Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.