Header Ads

Zari Amkumbuka Marehemu Ivan Don Amtumie Ujumbe Mzito "Maisha Hayapo Sawa Tena"

Zari Amkumbuka Marehemu Ivan Don Amtumie Ujumbe Mzito "Maisha Hayapo Sawa Tena"


Miezi saba toka mzazi mwenzake Zari, Ivan Ssemwanga kufariki dunia ambapo kama angekuwa hai siku ya leo December 12, 2017 angekuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa na hivyo Zari kuamua kuadhimisha siku hii kwa kupost maneno yenye majonzi kupitia mtandao wake wa snapchat.
Na huu ndio ujumbe wa Zari kwa marehemu Ivan Don“heri ya siku ya kuzaliwa Don, umeondoka lakini kamwe hautosahaulika, tunakukumbuka, maisha hayako sawa tena,watoto wanakukumbuka, tunakuombea kila siku, endelea kupumzika kwa amani

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.