Header Ads

Breakig News : Rais Magufuli Amtembelea Kingunge Hospitalini Kumjulia Hali

Breakig News : Rais Magufuli  Amtembelea Kingunge Hospitalini Kumulia HaliRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemjulia hali mwanasiasa mkongwe Mzee Kingunge Ngambale Mwiru aliyelazwa katika wodi ya Mwaisela, Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.