Header Ads

EXCLUSIVE: KINJE Afungukia 'Video' Zake za Mahaba na Tunda Zilizovuja Wakipigana Denda


Kinjekitile  a.k.a Kinje amefunguka kupitia Mahojiano Maalumu aliyofanyiwa na Global tv kuhusiana na video tatu zilizosambaa kwenye Mitandao ya kijamii zikimuonyesha akiwa na muuza nyago katika video za wasanii,  Tunda wakila Bata huku wakiwa kwenye mahaba mazito,

Hata hivyo Kinje amefunguka Zaidi nakusema kuwa hajafurahishwa na Video hizo kusambaa kwani hata yeye hakupenda iwe hivyo bali ni hali ya pombe ilipelekea mpaka kufikia hivyo.

Pia alikanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Tunda na kudai kuwa ni marafiki wa kawaida waliozoeana. VIDEO:

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.