Header Ads

Lemutuz Aendelea Kuteswa na Video Aliyopigwa Akitoka Kuoga..Afunguka Mengine Asubuhi ya leoFrom @lemutuz_superbrandtz - LIVE STRAIGHT TALK:- The Art of Forgiving Mungu anasema KUSAMEHE NI SHERIA YAKE MUHIMU SANA ...nimesema nimemsamehe aliyenirekodi na wala sina kinyongo naye isipokuwa tu SIMUHITAJI tena karibu yangu cause Shetani akishindwa haina maana amekubali kushindwa ila anakutegea tu ili aje akutege tena next time sasa kwa sababu kashindwa na kale kavideo NEXT TIME ATAKUJA NA SUMU KWENYE CHAKULA ndio maana simuhitaji yule msichana karibu yangu tena for the rest of my life wala hata ku communicate naye tena or anything to do with her LAKINI NIMEMSAMEHE STRAIGHT FROM MY HEART....
so guys nawakumbusha tu kwamba jifunze kutoka mfano wangu SAMEHE cause ningeweza nikamkaanga na Sheria Uwezo ninao na Nguvu ninayo lakini nilichagua kumuheshimu Mungu na kufuata amri yake ya KUSAMEHE .....cause Mungu anasema kama wewe hujui kusamehe usitegemee any Msamaha kutoka kwake Mungu NA INFACT MUNGU ANASEMA TUJIFUNZE KUSAMEHE MARA 70 .....isipokuwa Mungu hajasema ukishasamehe uwe rafiki na uliyemsamehe HAPANA ....ndio maana Mungu anasema "IKIWEZEKANA ISHI KWA AMANI NA KILA MTU" ......ni kwa sababu hata Mungu anajua kuwa HAIWEZEKANI ....lakini Mungu anasema KUSAMEHE cause anajua kuwa INAWEZEKANA......kama nilivyosema Guys AKILI KUBWAZZZ huwa tunajifunza kutokana na Makosa na huwa hatuna aibu kusema Ukweli cause ndio unaotuweka huru binadam....JIFUNZE KUSAMEHE TENA HASA INAPOKUTOKEA ISHU MBAYA SANA ....na kumbuka marafiki zangu wote mliokuwa mnalilia nimkamate yule Msichana nilikuwa nawacheka sana moyoni cause nyie ni kama wale marafiki wa Ayubu kwenye Biblia mlikuwa mnatumwa na Shetani ....hahahahaha....ndio you were nothing but Devil's agents so next time ukijiona unalilia mtu asisamehe ujue unatumika na Shetani .
....guys mimi sio Mlokole wala Mchungaji ila nimesoma Chuo Cha Bible Studies New York/USA kwa Miaka 2 niliamua kusoma Mwaka 2005/2007 kwa faida yangu binafsi nilitaka KUMJUA MUNGU na KUIJUA BIBLE kwa ajili ya maisha yangu binafsi it worked cause guys the ishu sio kwenda Kanisani tu isipokuwa kutumia Elimu ya Kanisani kwa faida yako binafsi ....so GUYS TUJIFUNZE KUSAMEHE! ....na muhimu ni kwa Binadam kutomuonyesha Shetani kuwa ana nguvu cause HANA! - le Mutuz

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.