Header Ads

Mbowe Afunguka Haya Baada ya Lowassa Kutua Ikulu

Alicho Kisema Mbowe Baada ya  Lowassa  Kutua Ikulu


Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kwa jinsi utawala wa awamu ya tano unavyoongoza nchi, inahitaji ujasiri wa ziada kusimama na kuusifia.

Mbowe amesema hay oleo Jumanne muda mchache baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward  Lowassa kwenda Ikulu.

Amesema mwaliko wa Lowassa ni wake binafsi na wala hauhusiani na Chadema na hata kile alichokizungumza cha kumsifia Rais Magufuli ni mawazo yake binafsi

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.