Header Ads

VIDEO: Kilio cha Wastara Chafika Ikulu...... Rais Magufuli na Mkewe Wamchangia Wastara Milioni 15 za Matibabu

Kilio cha Wastara Chafika Ikulu...... Rais Magufuli na Mkewe Wamchangia Wastara Milioni 15Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akiwasilisha mchango wa shilingi milioni 15 kwa mwigizaji Wastara  kutoka kwa Rais Dkt Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu. SHILAWADU ndio waliomuibua mwigizaji huyo kiasi hata ugonjwa wake uliwagusa wengi pamoja na JPM na mkewe.

Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akiwa na mwigizaji Wastara pamoja na SHILAWADU baada ya kumkabidhi msaada wa 15m/- kutoka kwa Rais Dkt Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli kwa ajili ya matibabu. Pia aliwasilisha mchango wa sh milioni moja na laki tisa toka kwa wasaidizi wa Rais. SHILAWADU ndio waliomuibua mwigizaji huyo kiasi hata ugonjwa wake uliwagusa wengi pamoja na JPM na mkewe.


Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.