Header Ads

VIDEO: Msikilize Rais Magufuli Akipiga Marufuku Michango Yote Shuleni
Rais Dkt. John Magufuli leo Januari 17, 2018 amepiga marufuku aina yoyote ya michango katika shule za Serikali za msingi na Sekondari na kuwaagiza waziri Suleiman Jaffo na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako kusimamia hilo.

==Msikilize hapo chini

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.