Header Ads

Wolper Aandika Hivi Baada ya Waziri Kuwaita na Kuwafungia Wasanii Wanaokiuka Maadili

Wolper Aandika Hivi Baada ya Waziri Kuwaita na Kuwafungia Wasanii Wanaokiuka Maadili


Baada ya kuona Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Juliana Shonza kuwataka wasanii ambao wamekuwa wakikaa nusu utupu katika mitandao ya kijamii na kwenye music videos zao kuwa wanahitajika kuripoti BASATA wakiwemo wasanii Gigy Money, na Sanchi.

Baada ya Pretty Kind kutangazwa kufungiwa miezi sita katika kazi yake ya sanaa  muigizaji Jacquline Wolper kupitia katika ukurasa wake wa instagram alipost picha ya wanawake wamevaa mabaibui na kuandika caption inayosema “Akuna namna dadekiiii mambo ya miezi 6 sitakiii” na baada ya muda mfupi kuifuta caption hiyo

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.