Header Ads

Video: Baada ya Iyobo Kutaka Kuwaua Shilawadu Aunt Ezekieli Awaomba Msamaha

Video: Baada ya Iyobo Kutaka Kuwaua Shilawadu  Aunt Ezekieli Awaomba Msamaha


Baada ya siku chache dansa wa Diamond Mose Iyobo kutaka kuwauwa shilawadu Aunt Ezekieli awapigia simu shilawadu kuwaomba msamaha kwa kilichofanya na mume wake.

Aunt alionyesha kukelwa kwa kilichotokea na kuwaomba kuwa huo ugomvi wampe yeye na kumuacha Iyobo iliwamalizane nae.

Aunt aliwaambia kwa sasa yupo safarini na atakaporejea atawaomba wakutane ili kuzungumza ishi hiyo na kuwahaidi kuwalipa mali zote ambazo zimeharibika siku ya tukio hilo.


Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.