Header Ads

Kauli ya Kwanza ya Abdul Nondo Baada ya Kuachiwa kwa DhamanaMwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) Abdul Nondo kwa mra ya kwanza amefunguka na kuwashukuru watanzania baada ya kuachiwa kwa dhamana katika mahakama ya Hakimu Mkazi, Mkoa wa Iringa leo Machi 26, 2018 Nondo ameweka wazi hayo baada ya kuachiwa huru na kusema kuwa sasa anaweza kuendelea na masomo yake pamoja na kesi hiyo ambayo itakuwa ikiendelea mkoani Iringa. "Namshukuru sana wakili Jebra K...

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.