Header Ads

WAKILI WASONGA ATANGAZA KUMRITHI TUNDU LISSU MBELE YA WAANDISHI WA HABARI

Image result for WAKILI WASONGAChama cha Wanasheria Tangangika law society (TLS) kinatarajia kufanya uchaguzi kwa nafasi mbalimbali za uongozi kuanzia mwezi wa nne mwaka huu ambapo Godfrey Wasonga ametangaza nia ya kugombea Urais.
Akizungumza na waandishi wa habari leo mjini hapa, Wasonga amesema licha ya kwamba ana upinzani mkali kutoka kwa Godwin Ngwalimi kutokana na kwamba yupo ndani ya uongozi kwa muda mrefu lakini ana matumaini ya kuibuka mshindi.

Mbali na hayo ameelezea kuwa kila mwaka wanafanya uchaguzi katika chama chao nayeye ameonana ni wakati sahihi wakuombea nafasi hivyo kwa ni anamaono.
Aidha akiongelea vipaumbele vyake kama mgombea urais wa chama cha wanasheria alisema kuwa ataakikisha atabadilisha kifungu cha 15 kutokana na kifungu hiki kuwa na mrundikano mambo mengi yasio na tija.
Amesema akipata nafasi hiyo ya urais atahakikisha anabadilisha sheria na kanuni kuwa bora zaidi na kukiondoa chama kutoka kwenye utegemezi wa vyanzo vya mapato na kujiendesha chenyeweGet it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.