Header Ads

AHMED SHABIBY ''ABDUL NONDO ANA UMAARUFU GANI MPAKA SERIKALI INAMJIBU KUPITIA WAANDISHI WA HABARI''

Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby amehoji sababu ya Serikali ikiwemo idara ya uhamiaji nchini kushindwa kutimiza wajibu wao kwa kuchunguza uhalali wa uraia wa watu wake na baadala yake kutafuta sifa kwenye vyombo vya habari.
Mfano kama huyu kijana Abdul Nondo ana umaarufu gani mpaka mumuite kwa kutumia vyombo vya habari kwa lengo la kutaka kujua uraia wake? Hii ni kuichafua Serikali ” – Ahmed Shabiby


Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.