Header Ads

mtoto Anthony Petro Atikisa Bungeni Jana

Headline za mtoto Anthony Petro zimeingia Bungeni Dodoma leo April 13, 2018 ambapo Mbunge wa Jimbo la Ngara Alex Gashaza ambalo ndipo anatokea mtoto huyo mwenye kipaji alitumia dakika zake kadhaa kuwashukuru watu waliosaidia baada ya kupata taarifa zake

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.