Header Ads

Naibu waziri Josephat kandege Afunguka kuhusiana na Upungufu wa Dawa

Naibu Waziri OR Rais TAMISEMI Josephat Kandege amesema kwa muda mrefu kumekuwa na changamoto ya upungufu wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi kwenye vituo vya umma vya kutolea huduma hali inayopelekea kutofikia asilimia 100 kama mpango mkakati wa sekta afya (HSSP_IV 2015_2020. Ameyabainisha hayo wakati akifungua kikao cha wadau wa dawa 'Vendor Forum'kilichofanyika leo mjini hapa. Kandege amesema pamoja na vituo vya kutolea huduma za afya kwa ngazi zote yaani hospital za rufaa Mkoa,hospital za halimashauri,Vituo vya afya na zahanati kupata mahitaji yake kutoka MCD na kutumia wazabuni havijaweza kuwa na dawa, vifaa, tiba na vitendanishi kwa asilimia 100. Aidha ameendelea kwa kusema ununuzi wa bidhaa za afya kwa wazabuni binafsi waliokuwa wakihudumia vituo mbalimbali vya kutolea huduma za afya umekuwa na changamoto nyingi ikiwemo taratibu za ununuzi kuchukua muda mrefu,gharama za manunuzi kuwa kubwana zinatoifautiana kati ya halmnashauri moja na


Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.