Header Ads

NYUMBA HII INAUZWA BEI POA SANA, IPO DODOMA

Nyumba hii inauzwa Ipo Dodoma Makao makuu ya Tanzania maeneo ya Nkuhungu ,Nyumba ina vyumba 4 vya kulala na chumba kimoja ni Master Bedroom , Ina Grills Imara za kiwango cha juu kwenye madirisha yote na Milango ya Nje. Bei yake ya ni Milion 45 tu. Kwa anayehitaji Awasiliane na Mhusika kwa Namba 0755001999


Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.