Header Ads

PICHA: Mwili wa ‘Masogange’ unavyoagwa Leaders Club


Leo April 22, 2018 Nimekusogezea PICHA mwili wa Agnes Gerald unaagwa katika viwanja wa Leaders Club jijini Dar es Salaam, na kisha kusafirishwa kwenda kwao Mbeya kwa ajili ya mazishi.

Masogange alifariki dunia Ijumaa April 20, 2018  saa 10 jioni kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya ‘pneumonia.‘

LIVE KUTOKA LEADERS: Mwili wa Agness Masogange unavyoagwaGet it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.