Header Ads

Serikali Yaeleza Mkakati Mpya wa Kupambana na Dawa za Kulevya


 
Serikali Yaeleza Mkakati Mpya wa Kupambana na Dawa za Kulevya
Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira Anthony Mavunde ni miongoni mwa Mawaziri waliosimama Bungeni leo ambapo alielezea mikakati ya Serikali katika kupambana na madhara ya dawa za kulevya nchini.

Mavunde amesema.>>>“Katika mikakati ambayo tumejiwekea katika kudhibiti dawa za kulevya ni pamoja na kupunguza madhara kwa kuwa na madirisha maalum katika hospitali zetu za mikoa ambayo yatakuwa yakiwahudumia waathirika” Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kirahisi

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.