Header Ads

Spika Job Ndugai Acharuka' Sitaki Wabunge Waingie Bungeni na Power Bank'BUNGENI: Spika Job Ndugai amesema ameagiza Wabunge wasiingie na 'power bank' wala chaja za simu ndani ya ukumbi wa Bunge.

Hii ni kutokana na mlipuko uliotokea wakati wa kikao cha Bunge baada ya 'power bank' ya Mbunge wa Nsimbo, Richard Mbogo kupata hitilafu hali iliyopelekea kikao hicho cha Bunge kuahirishwa

Aidha Wabunge wamesisitiza Katibu wa Bunge afikirie kumpongeza Askari aliyejitoa mhanga na kuitoa nje 'power bank' iliyokuwa ikiwaka moto kwani alionesha ujasiri mkubwa .

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.