Header Ads

Nasikitika Kuona Kizazi cha 'Wife Material' Kinazidi Kupotea Duniani

Natumai mko wazima wa afya, wakuu nimekuwa katika tafiti zangu juu ya wanawake kwa muda wa miaka minne.

Jambo nililogundua ni kuwa binti wengi wanaanza mapenzi wakiwa na umri mdogo tena na watu walio wazidi umri. Yani kisa kilichonimaliza nguvu ni binti wa form one tena kiongozi wa dini, kwa macho ni katulivu, kapole lakini baba mzima ndo anafanya nae mapenzi bila aibu.

Huyo ni mmoja wapo kati ya sample 100 nilizozitumia za mabinti umri wa miaka 10 - 14.Tena wengine hawana aibu wanapost na boyfriend zao fb.

Sasa ninachojiuliza hivi mama zao hawana utaratibu wa kuwakagua bikra kila weekend kama bado zipo? Pia katika utafiti wangu nimegundua 96% ya wanawake wameolewa bila bikra.


Mwisho: NASIKITIKA SANA KUONA KIZAZI CHENYE BIKRA KINAZIDI KUPOTEA KWENYE USO WA DUNIA KAMA DINASOUR

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.