Header Ads

WANAFUNZI WA DIS WATEMBELEA BUNGE KWA MAFUNZO

Wanafunzi wa shule ya Dar es Salaam Independent (DIS) ya Jijini Dar es Salaam wakiwa Bungeni Jijini Dodoma Mei 15,2018 kwa ziara maalum ya kimasomo. Wanafunzi hao wameapata fursa ya kufuatia Bunge katika kipindi cha maswali na majibu pamoja na kutembezwa na kupata maelezo kuhusiana na shughuli za Bunge. Picha: Mroki Mroki-Daily News Digital-Dodoma.
 Wakifuarahia nje ya Ukimbi wa Bunge jijini Dodoma.
Wanafunzi wa shule ya Dar es Salaam Independent (DIS) ya Jijini Dar es Salaam wakiwa Bungeni Jijini Dodoma Mei 15,2018 kwa ziara maalum ya kimasomo. Wanafunzi hao wameapata fursa ya kufuatia Bunge katika kipindi cha maswali na majibu pamoja na kutembezwa na kupata maelezo kuhusiana na shughuli za Bunge.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.