Header Ads

BREAKING NEWS: Klabu ya Singida United imefanikiwa kuinasa saini ya mchezaji Feisal Salum Abdalah “FEI TOTO”Klabu ya Singida United imefanikiwa kuinasa saini ya  mchezaji Feisal Salum Abdalah “FEI TOTO” kwa kandarasi ya miaka mitatu.

Katika kikao cha pamoja cha Uongozi wa JKU na Singida United, wameshakubaliana gharama za kufidia mkataba (transfer fee) wa miaka miwili ambayo mchezaji huyo alibakiza kuitumikia JKU.

Hii ni mwendelezo wa kukisuka kikosi cha SU chini ya kocha Hemedi Selemani Morocco.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.