Header Ads

England Yaipiga Sweden 2-0 Na Kutinga Nusu Fainali Kombe La Dunia

Timu ya taifa ya England imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Dunia Urusi kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Sweden.

Mabao ya England yamefungwa na Harry Maguire (30') pamoja na Dele Alli aliyefunga katika dakika ya 58 ya kipindi cha pili.

Ushindi huo unawafanya England kuingia hatua hiyo ya nusu ikiwa ni baada ya miaka 24 ambapo mara ya mwisho ilikuwa 1990

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.