Live Video: Tazama Ndege mpya ya Tanzania Boeing 787-8 Dreamliner Ilivyowasili Nchini
Tazama
hapa moja kwa kutoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu
Julius Nyerere, ndege mpya ya Tanzania aina ya Boeing 787-8 Dreamliner
ikiwasili ikitokea, Seattle nchini Marekani.
Ndege
hiyo ni ya nne kuwasili kati ya saba zilizonunuliwa na Serikali ya
Tanzania kwa ajili ya kuliwezesha shirika la ndege la Tanzania (ATCL)
ili kuimarsha huduma zake
No comments:
Post a Comment