Header Ads

mashabiki wamjia juu kajala kisa umri wa mtoto wake

Ikiwa wikiendi hii siku ya Jumapili msanii Kajala Masanja alikuwa akisherekea sikukuu ya kumbukumb ya kuzaliwa ya binti yake anaejulikana kwa jina la Paula na kusambaa kwa picha nyingi katika mitandao ya kijamii kuhusu picha hizo mashabiki zake wamemjia juu na kudai kuwa anawadanganya khusu umri wa mtoto wake.

Katika baadhi ya photoshoots zilizosambaa katika mitandao ya kamii, zinamuonyesha kuwa paula ana miaka 16 wakati mashabiki wanamtuhumu na kusema kuwa hana umri huo.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.