Header Ads

MATUKIO KWA PICHA YA SENDOFF YA IKUPA MWAMKENJA WA NMB TANDIKA BRANCH

MATUKIO KWA PICHA: Hivi ndivyo Ilivyokuwa Siku ya SendOff Ya @ikupamimi Wa NMB Tandika Branch Jiji Dar Es Salaam.

Pichani Yupo Na Mume wake Mtarajiwa @erickwangu Wa Dodoma /Vodacom Branch

JUMAMOSI HII TAR 14:07:2018.

Ni Siku yao ya Kufunga Ndoa.

Itafungwa Huko Dodoma Makao Makuu ya Tanzania.

#WATAPATATABUSANAA!
Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.