Header Ads

Mwanamke wa kwanza Muislamu ngazi za juu katika jeshi la Kenya

Mwanamke wa kwanza mwenye imani ya kiislamu ameapishwa kuongoza kama Jenerali katika jeshi. Fatuma Ahmed ameapishwa Ijumaa kuongoza katika wadhifa huo katika jeshi la Kenya.
Katika hafla ya kuapishwa kwa Fatuma Ahmed, rais wa Kenya Uhuru Kenyattaamesema kuwa Fatuma ni mwanamke wa  kwanza Muislamu katika cheo hicho na ni miongoni mwa mfano ya kuingwa na wanawake wengine nchini Kenya.
Fatuma Ahmed ameapishwa kuwa Meja-jenerali.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.