Header Ads

Ajali Mbaya sana ya gari imetokea kwenye Msafara wa Waziri

AJALI : Moja kati ya magari yaliyokuwa kwenye msafara wa Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Prof. Mbarawa limepinduka na kusababisha kifo cha mtoto wa miaka 8 aliyejulikana kwa la Steven Ochola, wilayani Rorya mkoani Mara. -Inaelezwa kuwa gari hilo limepinduka baada ya kujaribu na kushindwa kumkwepa mtoto huyo.
Mungu ailaze roho ya Marehemu Mtoto huyo Mahala pema peponi.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.