Header Ads

Fahamu kilicho sababisha kifo cha dada yake Magufuli
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Gerson Msigwa amesoma wasifu wa Marehemu Monica Joseph Magufuli aliyefariki dunia Jumapili tarehe 19 Agosti, 2018 katika hospitali ya Bugando Jijini Mwanza ambaye amezikwa leo katika makaburi ya familia yaliyopo katika kijiji cha Mlimani, Wilaya ya Chato Mkoani Geita.

Akisoma wasifu huo Msigwa amesema Monica alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa Kiharusi kutokana na ukubwa wa ugonjwa alipelekwa Hospitali ya Bugando ambapo ndipo umauti ulimkuta, ameacha Mume na watoto 9.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.