Header Ads

Gigy money achumbiwaMsanii Gigy Money karudi tena na time hii ni kuhusu kuolewa ambapo ameelezea picha alizopiga na mwanaume na kisha kuziweka mtandaoni ambapo Gigy kasema kuwa mwanaume huyo kamchumbia Zanzibar na istoshe soon wanatarajia kufunga ndoa.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.