Header Ads

MBAO FC KUJIANDAA NA MSIMU MPYA WA LIGI KUU
Club ya Mbao FC ambao inajiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania bara chini ya kocha wake mpya Amri Said, leo Ijumaa ya August 10 2018 imetangaza jezi zake mpya.
Mbao FC ambao wameamua kuingia katika mfumo wa kisasa na kujiingizia kipato, leo wametambulisha jezi zao mpya za nyumbani na ugenini watakazotumia msimu wa 2018/19 lakini mashabiki watazipata pia madukani.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.