Header Ads

Ray C na Hamisa Mobeto watupiana Madongo wazi wazi.

Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo fleva Rehema Chalamila maarufu kama Ray C amejikuta  akianza kumchokonoa  kwa kutoa maneno ya kejeri kwa mwanamitindo Hamisa Mobetto muda mchache baasa ya kuachia wimbo wake.

Hii si mara ya kwanza kwa Ray C Kumtumipia maneno ya shombo Hamisa kwani beef lao lilianzia pale Ray C alipoanza kuzisema nguo aina ya ‘Fendi’ feki ambazo zinauzwa kwenye duka la mwanamitindo huyo.

Leo kupitia instagram Ray C ameanza tena kutoa maneno ya kejeri japo ajamtaja moja kwa moja hamisa mobetto bali yanaonekana moja kwa moja kumlenga yeye kwakuwa ndo msanii pekee aliyeachia wimbo wake leo. "MNAHARIBU MAAANA NZIMA YA BONGO FLAVA! ACHENI UTANI NA KAZI ZA WATU! SIO KILA MTU AIMBE IT'S BULLSHIT.." Alipost Ray C kwenye akaunti yake ya instagram.
TOA MAONI YAKO HAPA

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.