Header Ads

RICH MAVOKO AISHUKURU BASATA
Kupitia ukurasa wa instagram wa Rich Mavoko ameonekana kuandika ujumbe wa kulishukuru Baraza la Sanaa la Taifa BASATA ikiwa ni mara ya kwanza kupost kitu katika instagram yake toka tetesi zisisambae kuhusu kuachana na record label yake iliyokuwa inasimamia kazi zake za muziki.

Rich Mavoko ameandika “Nimejifunza vingi ila la muhim  kabisa  nimeona Umuhim wa kukaa karibu na  walezi wetu mana changamoto ni nyingi na  kuna mengi ila yote mnaweza yajua kama tukiwa karibu nanyi leo mmenipa maana ya neno mama ni mama ata kama ni kilema, ata iweje nyinyi ndo walezi wasanaa Yetu Niseme Tu Asante #BasataGet it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.