Header Ads

Serengeti Boys Yapata Tuzo

Serengeti Boystz Yapata Tuzo ya Timu Yenye Nidhamu Michuano ya Cecafa
Timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania U17 Serengeti Boystz imepata tuzo ya timu yenye nidhamu kwenye michuano ya Cecafa Total U17 Afcon Zonal Qualifiers.

Serengeti Boys, ambao walishafuzu kutokana na Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano hayo yatakayofanyika Mei 2019, wamemaliza michuano ya kufuzu katika nafasi ya tatu baada ya kuifunga Rwanda kwa mikwaju ya penati 4-3.

Dakika 90 zilimalizika kwa vijana hao kutoshana nguvu kwa goli 2-2

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.