Header Ads

SIRI ZA KIMAPENZI WANAZOTUMIA WANAWAKE MALAYA KUKAMATA WAUME ZA WATU.

5) Wanaujua UDHAIFU na UHITAJI wa ngono kwa wanaume na wanautumia.
Wanajua wanaume wengi kama sio wote ngono ni udhaifu wao mkubwa na uhitaji wao mkubwa na WANAWAPA KWA BIDII tofauti na wake wengi ambao ni wazembe, wavivu na wanaotumia tendo la ndoa kama fimbo ya adhabu na maumivu kwa kuwanyima waume zao wanapowakosea. Tendo la ndoa wewe kama mke ukilitumia vizuri ni kifaa muhimu sana kinachoweza kuongeza upendo na kuwasogeza karibu sana. Usitumie tendo la ndoa kubomoa nyumba yako kwa kumkalisha mwenzio na njaa muda mrefu. Atapata kwashakoo. Litumie kujenga ndoa yako.

6) Hawa michepuko THEY KISS LIKE MAD PEOPLE.
Nikiisema kiswahili hainogi. Lakini wanajua kuitumia midomo yao kama vichaa. Kwenye ripoti moja wanaume wengi hasa baada ya kukaa pamoja na wake zao kwa muda walisema wake zao hawafagilii mabusubusu. They said it is difficult to get a decent kiss from their wives. Wengi hawapendi au wanazionea aibu. Michepuko are experts in this area, they use kissing as a weapon. They kiss everything that is kissable(sijui kama hicho kiingereza kipo). They kiss anywhere, anytime.
Wives STOP BEING LOCAL. Kiss your husband even when he is not expecting it.

7) THEY USE KILLER UNDERWEAR & NIGHTIER:
Wakati wewe unavaa mateitei ya kijani na brown na saa nyingine boxa kama za kiume unapandisha mayenu mpaka tumboni na vile umeshazaa kitambi kiko kule kama cha dadii, wewe ni matumla wewe? Unaenda kupigana na nani huko kitandani? sidiria zenye mafundo na zenyewe ni rangi za ajabu ajabu umechanganya kama ule upinde wamvua saa nyingine hayo mateitei yamechanika, nyingine unazivaa huu ni mwaka Wa tatu unazo tu zimeshafubaa zimegimbaa bado unazo tu, unaingia kulala na makanga, Madera,  wale kule nje always BALANCE COLOURS UNDER THERE halafu ni wasafi na wanajua fashion sio huku nje tu ila fashion inaanzia kule ndani... Halafu wanapotoka they DRESS UP lakini wanapoingia kulala they DRESS DOWN so that the man who is moved by what he sees can properly see walivyobarikiwa. Wewe endelea kuficha ficha kitachacha...woi

8) THEY SEE SEX AS A SERIOUS BUSINESS:
Wakati wewe unaona tendo la ndoa ni KARAHA, UNACHOSHWA, NI UCHAFU na unatamani hata lingeondolewa kwenye ndoa wale kule nje  wanaiona kama biashara moja muhimu sana na watafanya vyovyote kuwaridhisha wateja wao na kuhakikisha hawaondoki.They use all marketing strategies, branding, product, packaging, marketing and advertisement.
Wake wema please Begin to see sex as a serious business, REBRAND yourself, REPACKAGE yourself because you are the real product. Kwingine naona nikiandika kiswahili haileti maana ninayotaka uipate. REBRAND, REPACKAGE plzzz...

9) THEY TREAT SEX AS FOOD OF MEN:
Wake wengi utasikia wanalalamikia waume zao kwamba wanapenda sana show kama vile ni chakula. Nisikilize kwa hawa watu wanaoitwa wanaume tendo la ndoa sio tu kama chakula, ni zaidi ya chakula, Biblia inasema kwa hawa watu tendo la ndoa NI MAJI.....Kasome Mithali 5:15-19. Maji ni ya muhimu mnoooo kuliko chakula, chakula chenyewe ili kilimwe mpaka kiote na kipikwe kinategemea maji....Upo?
Michepuko are aware of the fact that men see sex even more than food and they SERVE IT HOT, BALANCED, ENOUGH AND BETTER.

10) THEY SET TABLE FOR SEX:
Michepuko wanajua KUANDAA MEZA YA SHOW. Soft music, blue light, candle light, perfumed bed, velvet bed sheet, sexy outlook, slippery fingers vyote vinaandaliwa. Bado unajiuliza kwa nini wazee wakiendaga huko ni ngumu kutoka? Tafadhali Mke unayenisoma Begin to set table for sex in your marriage, be creative, surprise your husband with sexy outlook when he arrives from work. Children are already in bed, you look “Smatching”, the whole house look romantic, soft music, dinner with candle light, Nyumba yako ijae utulivu acha kelele na maneno mengi, Hug by the door and kiss on the lips. Nani amesema huyo baba kesho hatawahi kurudi Nyumbani?. Ngoja nikaandae meza yangu.

11) Michepuko wanajua KUCHOKOZA
Atakuangalia machoni, mmekaa kwenye meza atakuwekea miguu, atacheka hata kisichochekesha, wanapoongea mara ameweka mkono kwenye paja la jamaa, wakitembea ameshika kiuno au mkono, wanajua kusalimia kwa tabasamu, and they dont realy make things too serious,....sisi wenye ndoa zetu sasa weeeeee kwanza mpaka Huyo baba afanikiwe kukuchekesha ni amekua comedian zaidi ya joti, kila saa umenuna, kila Saa ni mambo siriaz siriaz tu Mara kodi Mara ada Mara misiba yaani unafanya maisha ya mtu Magumu Magumu tu akiwa na wewe, Mungu anawaona.

12)Michepuko inajua KUJITONGOZESHA au kutengeneza MAZINGIRA YA KUTONGOZWA. THE ARE SEDUCTIVE.
Atavaa nguo inaacha maziwa, mapaja nje, atajipitisha pitisha, atajibaraguza, atavaa nguo ya kubana ramani ya mwili wote unaonekana ulivyokaa, atajisemesha semesha ilimradi tu amtie baba Wa watu mtegoni. Mume wako angekua anakuambia majanga yote anayokutana nayo huko barabarani ungeelewa.

13) THEY MAKE GREAT USE OF PERFUME:
Wanawake malaya use expensive perfumes, they smell nice to attract men.

14) THEY MAKE MEN FEEL WANTED:
Michepuko do make men feel wanted, honored and welcome by their attitude, cooperation and involvement in the bedroom. Huku kwa wake wenye ndoa zao sasa, they make men look foolish, dirty, for asking for sex, they make their husbands fight or struggle for it.....kosa kubwa sana! Plz Treat your husband with honor, let him feel wanted, accepted and loved. If he touches you encourage him and touch him too

15) WANAJUA KUPIKA.
THEY COOK GREAT MEALS. Michepuko also know how to cook great meals for men before sleeping with them. They know that men love food and if a man loves your food he is likely going to like your body.
Kama hutaki kuipika ndoa yako ipotelee huko MPIKIE MUME ALE ASHIBE.....

**WANAJUA KUTUMIA NGUVU ZA GIZA PIA. Usipochangamka ukakaza ukakaa vizuri na Mungu wa kweli huwezi kuwashinda kirahisi
Nimechoka kuandika,!

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.