Header Ads

Gari la Mbunge viti maalumu lashambuliwa kwa risasi


Gari la mbunge wa viti maalum (Chadema) mkoa wa Manyara, Anna Gidarya linadaiwa kushambuliwa kwa risasi kwenye matairi.

Mbunge huyo amesema kitendo hicho kimetokea leo Jumapili, tarehe 16 Septemba 2018.

Amesema kuwa tukio hilo limetokea kata ya Majengo wilaya ya Monduli mkoani Arusha akiwa anasimamia uchaguzi wa ubunge wa jimbo hilo unaofanyika leo

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.