Header Ads

Klabu ya Riadha yafadhiliwa na DSTV kujiandaa na OlympikKlabu ya Riadha ya Rift Valley Athletic Club  iliyoko Wilaya Karatu mkoani Arusha iliyofadhiliwa na kampuni ya Multichoice Tanzania wanaomiliki king'amuzi cha Dstv , tayari imeanza kupiga kambi kwa ajili ya kuandaa mwanariadha bora watakaoweza kushiriki katika mashindano ya kimataifa na kuleta medali za kimataifa ikiwemo mashindano ya Olympiki .

Wachezaji hao wakizungumza wakati wa uzinduzi wa kambi maalum ya riadha ya DStv inayoendeshwa na klabu ya Rift valley Athletic  inayofadhiliwa na kampuni ya MultiChoice Tanzania iliyoko wilaya ya Mbulu mkoani Manyara wamesema kuwa klabu hizo zimekua zikiandaa mwanarKlabu ya Riadha ya Rift Valley Athletic Club  iliyoko Wilaya Karatu mkoani Arusha iliyofadhiliwa na kampuni ya Multichoice Tanzania wanaomiliki king'amuzi cha Dstv , tayari imeanza kupiga kambi kwa ajili ya kuandaa mwanariadha bora watakaoweza kushiriki katika mashindano ya kimataifa na kuleta medali za kimataifa ikiwemo mashindano ya Olympiki .
Kwa upande wake Katibu Mkuu wa Chama cha Riadha Taifa (RT) Wilhelm Gidabuday amesema kuwa uwekezaji katika vilabu vya riadha utasaidua kuinua michezo wa riadha na kuleta medali za kimataifa nchini.

Kocha wa Klabu ya Timu ya Rift Valley Francis Nade alisema kuwa kambi hiyo ina vijana 16 wako kambini ,leo ni tumeanza mashindano ya ndani ili kuleta chachu katika mchezo huu.

Watanzania wategemee medali za kimataifa tunawaandaa vijana kuanzia umri mdogo kwani
Ukiwa na umri mdogo inaweza kufanya mambo makubwa tofauti ukiwa na umri mkubwa .

Meta Petro Mwenyekiti wa RiftValley Athletic Club amesema wamekua wakianzisha mbio za watoto
Hata kina Simbu wametokea huko .

Lengo letu kubwa ni kutafuta mwanariadha kupitia kwenye vilabu ,2020 tukiwekeza kwenye vilabu tunaweza kupata medali .

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.