Header Ads

Mahakama yatupa mapingamizi ya Serikali ving’amuzi chaneli za ndani


Iringa. Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imetupilia mbali mapingamizi ya Wakili wa Serikali yaliyokuwa yanapinga Mahakama hiyo kusikiliza maombi ya kuondolewa amri ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) inayozitaka baadhi ya  kampuni zilizokuwa zikionyesha chaneli za ndani kuondolewa kwenye ving'amuzi vyao.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.