Header Ads

Msangi kupiga kura yake kituo cha kitunda relini


Mgombea Ubunge wa Chadema Jimbo la Ukonga, Asia Daudi Msangi anatarajiwa kupiga kura yake katika kituo cha Kitunda Relini, Shule ya St. Lawrence baadae majira ya Mchana.

Mgombea huyo anawania Ubunge wa Jimbo la Ukonga huku akichuana vikali na Mwita Waitara kutoka CCM.

Matokeo ya Uchaguzi huo yamepangwa kutangazwa katika kituo cha Anatogro

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.