Header Ads

Mwanamitindo Calisah Atoa msimamo wake kuhusu waganga wa kienyeji

Nilishawahi Kwenda kwa Mganga Lakini Sio kwa Sababu ya Demu:-Calisah
Mwanamitindo Calisah ambae mara nyingi amekuwa akisema ukweli juu ya maisha yake na maisha ya wasanii wengine amefuguka na kusema kuwa katika maisha yake aliwahi kwenda kwa mganga  lakini sio kwa sababu ya mwanamke ila kutokana na kujiweka imara yeye mwenyewe.

Calisah anasema kuwa hawezi kamwe kwenda kwa mganga ili tu kumloga mwanamke lakini kama ni mambo mengi  anaweza kwenda ingawa pia hawezi kwenda kwa ajili ya kumloga mtu yoyote kwa mafanikio ya kazi .

ndio nilishawahi kwenda kwa mganga lakini sio kwa sababu ya demu,haa siwezi kwenga kwa mganga kwa sababu i dont chase holes, nilikwenda kwa ajili ya mambo ya kimaisha tu lakini sio mapenzi.

Nilikwenda kwa mganga kwa sababu ya kujiweka vizuru tu mimi mwenyewe kwa sababu tunaishi na watu na kuna ma-haters pia lakini sijawahi kwenda kwa ajili ya kumloga mtu pia

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.