Header Ads

Nicki Minaj Na CardiB Wazichapa kwenye party ya mastaa


Nicki Minaj Na CardiB wamepigana na kutaka kuumizana wakati wote wanaingia kwenye party kubwa ya mastaa ya Harper,s Bazaar ICONS Fashion Week Mjini New York Usiku Huu.

Video inaonyesha Cardi B akivua viatu na kuanza kumrushia Nicki Minaj, Wigi la Cardi B limechomoka wakati wa Ugomvi, .

Nicki Alikuwa anapiga picha na Kelly Rowland na La La Anthony na Cardi B akapita katikati, Nicki alikanyaga gauni la Cardi kwa makusudi na ngumi zikaanza.

CardiB ameumia Usoni atika jicho la upande wa kushoto

Mashahidi wengine wanasema Nicki hakufanya chochote kumuudhi Cardi B na ugomvi ulivyoanza alitulia tu bila kusema wala kufanya chochote.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.