Header Ads

Raia waendelea Kumpinga Museveni, Tangazo lake Lakosolewa

Tangazo la Rais wa Uganda Yoweri Museveni kuwa serikali yake itatenga shilingi bilioni 54 za Uganda kwa ajili ya kuwaajiri maafisa wapatao 24,000 kama mbinu ya kudumisha usalama kwenye maeneo ya jiji kuu la Kampala na Wakiso, limekosolewa na watu mbalimbali wakiwemo wabunge wanaosema hilo huenda lisiwe suluhisho la kudumu kwa usalama wa nchi ambao unazorota.

Wabunge, wadadisi wa siasa na raia wanataka Museveni kuzingatia matumizi ya teknolojia ya kisasa na kuimarisha uwezo wa maafisa wa jeshi la polisi ili kukabiliana na uhalifu na wahalifu

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.