Header Ads

Sijawahi kuwaza kupotelewa na sehemu za siri-GigyMwandada gigy money amekiri kuwa siri kubwa na msingi kwa mwanamke ni makalio na wala sio kiuno kama ambayo watu wamekuwa wakisema kusema katika mitandao ya kijamii.Gigy anasema kuwa kila siku alikuwa anawaza hapo siku za nyuma nini kitatokea kama angeweza kuamka tu asubui na kukuta hana makalio .

Gigy money anasema kuwa kitu sensitive kama icho asingeweza kumwambia mtu yoyote zaidi ya mama yake lakini angekuwa radhi kufanya lolote na hata kutafuta mganga wa kumngangua ili aweze kurudisha makalio yake kama awali.

Sijawahi kuwaza kupotelewa na sehemu za siri, ili niliwahi kuwaza kama ningelala na kuamka nakuta sina makalio. sijui nilikuwa naenda kutegemea nini wakati trend yangu ilikuwa ni makalio….ntaamini nielogwa kwanza na nitatafuta waganga na waganguzi niwaulize makali yangu yako wapi.

Get it on Google Play

No comments:

Powered by Blogger.